# Maelezo ya jumla Hii inahitimisha maelezo ya Ayubu juu ya hali ambazo ndani yake angestahili hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa haikuwa kweli. # Kama nchi yangu ingelia dhidi yangu, na matuta yake yaomboleza pamoja Ayubu anaielezea nchi kana kwamba alikuwa mtu ambaye analia kwasababu Ayubu ameiiba kutoka kwa mmliki halali.