sw_tn/job/31/26.md

20 lines
411 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
# mwezi ukitembea
"mwezi ukizunguka katika anga"
# na kama moyo wangu umevutwa kwa siri
"kama kwa siri nimetamani kuviabudu"
# mdomo wangu umeubusu mkono wangu
Hii ni ishara ya upendo na ibada.
# kuadhibiwa na waamuzi,
"kwa ajili yake waamuzi wangekuwa sawa kuhukumu"