# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli. # mwezi ukitembea "mwezi ukizunguka katika anga" # na kama moyo wangu umevutwa kwa siri "kama kwa siri nimetamani kuviabudu" # mdomo wangu umeubusu mkono wangu Hii ni ishara ya upendo na ibada. # kuadhibiwa na waamuzi, "kwa ajili yake waamuzi wangekuwa sawa kuhukumu"