sw_tn/job/31/22.md

8 lines
305 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
# Ndipo bega langu na lianguake kutoka katika sehemu yake, na mkono wangu uvunjike katika kiungo chake
"kisha mtu mmoja na alivunje bega langu na kuuvunja mkono wangu"