# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli. # Ndipo bega langu na lianguake kutoka katika sehemu yake, na mkono wangu uvunjike katika kiungo chake "kisha mtu mmoja na alivunje bega langu na kuuvunja mkono wangu"