sw_tn/job/31/19.md

16 lines
524 B
Markdown

# Maelezo ya jumla .
Ayubu anaanza kufafanua hali ambazo angestahili kupata hukumu ya Mungu, (zimeelezwa katika 31:22) lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli
# ikiwa moyo wake haujanibariki kwasababu amekuwa hajatiwa joto na sufu ya kondoo zangu,
"Nimewapa watu wale nguo za sufu ili kupata joto, na hivyo wamenibariki, lakini kama ningekuwa sijafanya hivyo,"
# nimeinua juu mkono wangu kinyume
"Nimetisha ili kudhuru"
# katika lango la mji
Hapa ni mahali ambapo watu muhimu wa mji hukusanyika na kufanya maamuzi.