# Maelezo ya jumla . Ayubu anaanza kufafanua hali ambazo angestahili kupata hukumu ya Mungu, (zimeelezwa katika 31:22) lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli # ikiwa moyo wake haujanibariki kwasababu amekuwa hajatiwa joto na sufu ya kondoo zangu, "Nimewapa watu wale nguo za sufu ili kupata joto, na hivyo wamenibariki, lakini kama ningekuwa sijafanya hivyo," # nimeinua juu mkono wangu kinyume "Nimetisha ili kudhuru" # katika lango la mji Hapa ni mahali ambapo watu muhimu wa mji hukusanyika na kufanya maamuzi.