sw_tn/job/31/07.md

20 lines
547 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
# Kama hatua zangu zimegeuka kutoka katika njia sahihi
"kama nimekoma kufanya kile kilicho sawa"
# kama moyo wangu umetembea kwa kufuata macho yangu
"kama nimefanya mambo yoyote maovu"
# na kama doa lolote la uchafu limeng'ang'ania katika mikono yangu
"kama nina hatia ya dhambi kabisa"
# mavuno na yang'olewe katika shamba langu
"mtu mwingine zaidi na aje na kuchukua mavuno kutoka katika shamba langu"