# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli. # Kama hatua zangu zimegeuka kutoka katika njia sahihi "kama nimekoma kufanya kile kilicho sawa" # kama moyo wangu umetembea kwa kufuata macho yangu "kama nimefanya mambo yoyote maovu" # na kama doa lolote la uchafu limeng'ang'ania katika mikono yangu "kama nina hatia ya dhambi kabisa" # mavuno na yang'olewe katika shamba langu "mtu mwingine zaidi na aje na kuchukua mavuno kutoka katika shamba langu"