sw_tn/job/29/25.md

16 lines
330 B
Markdown

# niliwachagulia njia zao
hii inamaanisha kuwaamulia jambo wanalopaswa kutenda
# niliketi kama mkuu wao
"niliwaongoza kama mkuu wao"
# niliishi kama mfalme kwenye jeshi lake
watu walimtii Ayubu kama mfalme na walikuwa kama jeshi lake.
# nilikuwa kama mtu anayewafariji waombolezaji
"niliwafariji wakati wa kuomboleza kwao"