# niliwachagulia njia zao hii inamaanisha kuwaamulia jambo wanalopaswa kutenda # niliketi kama mkuu wao "niliwaongoza kama mkuu wao" # niliishi kama mfalme kwenye jeshi lake watu walimtii Ayubu kama mfalme na walikuwa kama jeshi lake. # nilikuwa kama mtu anayewafariji waombolezaji "niliwafariji wakati wa kuomboleza kwao"