sw_tn/job/29/09.md

16 lines
493 B
Markdown

# nipokuja kwa wafalme wajizuia kuongea
hii ilikuwa alama ya heshima
# waliweka mkono wao juu ya kinywa chao
hii ilikuwa alama ya heshima. Walifanya hivi kuonesha kuwa usingeweza kuongea.
# sauti za waungwana zilinyamaza
"waungwana walinyamazisha sauti zao" au "waungwana waliacha kuongea"
# na ulimi wao gandamana kwenye makaakaa ya vinywa vyao
maana yake walimweshimu Ayubu hadi kukosa neno la kusema. KTN: " walijihisi kushindwa kuongea" au "na hawakuwa na jambo lolote la kusema"