# nipokuja kwa wafalme wajizuia kuongea hii ilikuwa alama ya heshima # waliweka mkono wao juu ya kinywa chao hii ilikuwa alama ya heshima. Walifanya hivi kuonesha kuwa usingeweza kuongea. # sauti za waungwana zilinyamaza "waungwana walinyamazisha sauti zao" au "waungwana waliacha kuongea" # na ulimi wao gandamana kwenye makaakaa ya vinywa vyao maana yake walimweshimu Ayubu hadi kukosa neno la kusema. KTN: " walijihisi kushindwa kuongea" au "na hawakuwa na jambo lolote la kusema"