sw_tn/job/28/20.md

24 lines
1023 B
Markdown

# Basi, hekima hutoka wapi? Mahali pa ufahamu ni wapi?
Ayubu anatumia maswali haya kudokeza jinsi gani watu hupata ufahamu na hekima> KTN: " Nitawaambia hekima hutoka wapi na mahali ufahamu ulipo" au "nitawaambia jinsi ya kuwa na busara na namna ya kujifunza vitu vya ufahamu"
# Basi hekima hutoka wapi
hekima inaongelewa kana kwamba ipo mahali fulani na huwajia watu. hii inamaanisha watu kujipatia busara. KTN: "Basi watu hupata wapi hekima" au "basi namna gani watu hupata busara"
# Mahali pa ufahamu ni wapi
Ufahamu umeongelewa kama kitu ambacho kipo hali. KTN: "Watu hupata wapi ufahamu" au "namna gani ya watu hufahamu vitu"
# hekima imefichwa kutoka kwenye macho ya viumbe hai vyote
Viumbe hai haviwezi kuiona hekima. KTN: "Hakuna kiumbe hai chenye kuweza kuiona hekima"
# na imefichwa kutoka kwa ndege wa mbinguni
"hata ndege ambao huruka katika anga hawawezi kuona hekima"
# uharibifu na mauti husema
hapa "uharibifu" na "mauti" ni tamathali kwa sehemu ambapo watu huelekea wakati wanapofariki.