sw_tn/job/27/22.md

20 lines
539 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
mistari ya 22-23 Ayubu anazungumzia upepo kana kwamba ni mtu mwenye kumshambulia mtu mwovu
# unajirusha wenyewe juu yake
hapa "unajilisha wenyewe " inamaanisha upepe. "unavuma kwa nguvu dhidi yake kama mtu mwenye kumshambulia"
# anajaribu kuukimbia mko wake
" anajaribu kukimbia kutoka katika mamlaka yake"
# Anapiga makofi yake kwa kumdhihaki.
" Upepo unato sauti kubwa kama ya mtu anayepiga makofi ili kudhihaki"
# anazomewa mbali na sehemu yake
"amepeperushwa mbali na sehemu yake na anazomewa kwa dhihaka"