# Maelezo ya Jumla mistari ya 22-23 Ayubu anazungumzia upepo kana kwamba ni mtu mwenye kumshambulia mtu mwovu # unajirusha wenyewe juu yake hapa "unajilisha wenyewe " inamaanisha upepe. "unavuma kwa nguvu dhidi yake kama mtu mwenye kumshambulia" # anajaribu kuukimbia mko wake " anajaribu kukimbia kutoka katika mamlaka yake" # Anapiga makofi yake kwa kumdhihaki. " Upepo unato sauti kubwa kama ya mtu anayepiga makofi ili kudhihaki" # anazomewa mbali na sehemu yake "amepeperushwa mbali na sehemu yake na anazomewa kwa dhihaka"