sw_tn/job/27/20.md

20 lines
406 B
Markdown

# vitisho humkabili
" mambo ya kutisha humtokea kwa ghafula" au "ghafula atashikwa na woga"
# kama maji
" kama mafuriki" au "kama maji jaa upesi"
# dhoruba humtoa
"upepo mkali humpeperusha mbali"
# humfagia mbali na sehemu yake
"upepo humfagia mbali na sehemu yake kama mwanamke anafagia uchafu kwenye nyumba" au " upepo humpeperusha kwa urahisi mbali na sehemu yake"
# sehemu yake
"nyumba yake"