# vitisho humkabili " mambo ya kutisha humtokea kwa ghafula" au "ghafula atashikwa na woga" # kama maji " kama mafuriki" au "kama maji jaa upesi" # dhoruba humtoa "upepo mkali humpeperusha mbali" # humfagia mbali na sehemu yake "upepo humfagia mbali na sehemu yake kama mwanamke anafagia uchafu kwenye nyumba" au " upepo humpeperusha kwa urahisi mbali na sehemu yake" # sehemu yake "nyumba yake"