forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
646 B
Markdown
16 lines
646 B
Markdown
# Hakika midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu kusema uongo
|
|
|
|
"midomo yangu" na "ulimi wangu" vifungu hivi vyote vina maana moja na vimetumika kusisitiza kwamba Ayubu hatasema mambo yasiyofaa. KTN: "Hakika sitasema ouvu au uongo"
|
|
|
|
# haitanena uovu...kusema uongo
|
|
|
|
"uovu" na "uongo" ni majina dhahania yanayoweza kuelezea "kwa uovu" na "kwa udanganya" KTN: "kunena kwa uovu... kusema kwa udanga udanganyifu"
|
|
|
|
# Sitakubali kwamba ninyi watatu mpo sahihi
|
|
|
|
"sitakubaliana nanyi na kusema kwamba ninyi watatu mpo sahihi"
|
|
|
|
# sitaukana uadilifu wangu
|
|
|
|
"sitaacha kusema ya kwamba mimi si mwenye hatia" au " daima nitasema ya kuwa mimi mwadilifu"
|