sw_tn/job/27/01.md

24 lines
728 B
Markdown

# Hakika kama Mungu anavyoishi
Hii ni namna ya dhati ya kuweka ahadi. KTN: "Ninaapa kwa Mungu"
# ameniondolea haki yangu
kuindoa haki inamaanisha kukataa kumtendea haki Ayubu
# aliyefanya maisha yangu kuwa machungu
"amesababisha niwe na uchungu" au " amenifanya nikasirike kwa sababu alinitendea kwa namna isiyo nzuri"
# wakati uhai wangu ukiwa ndani yangu
hii inamaana ya maisha yake yote. KTN: wakati wote ambapo uzima wangu ukiwa ndani yangu" au "kwa muda wote ambao uhai wangu bado upo ndani yangu"
# pumzi kutoka kwa Mungu puani mwangu
pumzi puani inawakilisha uwezo wa kupumua, "pumzi kutoka kwa Mungu" inawakilisha kitendo cha Mungu kumfanya aweze kupumua. KTN: "Mungu ananiwezesha kupumua"
# puani
"pua"