|
# Nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu kwa kukemea kwake
|
|
|
|
Ayubu anaongelea watu kama nguzo ambazo hutetemeka kwa hofu wakati Mungu anapokasirika.
|
|
|
|
# alimvunjavunja Rahabu
|
|
|
|
alimharibu Rahabu
|
|
|
|
# Rahabu
|
|
|
|
Hili ni jina la kiumbe cha kutisha kilichoishi katika bahari.
|