# Nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu kwa kukemea kwake Ayubu anaongelea watu kama nguzo ambazo hutetemeka kwa hofu wakati Mungu anapokasirika. # alimvunjavunja Rahabu alimharibu Rahabu # Rahabu Hili ni jina la kiumbe cha kutisha kilichoishi katika bahari.