sw_tn/job/26/05.md

24 lines
780 B
Markdown

# waliokufa
" wale ambao walikufa" au " roho za wafu"
# tetemeka
wanatetemeka kwa sababu wanamwogopa Mungu. KTN: "kutetemeka kwa hofu" au "kutetemeka kwa hofu ya Mungu"
# wale ambao wapo chini ya maji
Hii inaelezea watu waliokufa ambao hutetemeka"
# wote wanaoishi ndani yake
hii nazungumzia kuhusu watu waliokufa ambao hutetemeka. neno "yake" linamaanisha kwenye maji
# kuzimu ipo tupu mbele za Mungu; uharibifu mwenyewe hauna kifuniko
kuzimu inaongelewa kana kwamba ni mtu. kuwa "tupu" au kukosa" kifuniko" ni kuwa wazi kabisa na kushindwa kuficha chochote. KTN: " Ni kama kuzimu ilivyo wazi mbele za Mungu, maana hakuna kitu kuzimu, au sehemu ya uharibifu ambayo imejificha kwa Mungu"
# uharibifu
hili ni neno jingine kumaanisha kuzimu. KTN: "sehemu ya uharibifu"