# waliokufa " wale ambao walikufa" au " roho za wafu" # tetemeka wanatetemeka kwa sababu wanamwogopa Mungu. KTN: "kutetemeka kwa hofu" au "kutetemeka kwa hofu ya Mungu" # wale ambao wapo chini ya maji Hii inaelezea watu waliokufa ambao hutetemeka" # wote wanaoishi ndani yake hii nazungumzia kuhusu watu waliokufa ambao hutetemeka. neno "yake" linamaanisha kwenye maji # kuzimu ipo tupu mbele za Mungu; uharibifu mwenyewe hauna kifuniko kuzimu inaongelewa kana kwamba ni mtu. kuwa "tupu" au kukosa" kifuniko" ni kuwa wazi kabisa na kushindwa kuficha chochote. KTN: " Ni kama kuzimu ilivyo wazi mbele za Mungu, maana hakuna kitu kuzimu, au sehemu ya uharibifu ambayo imejificha kwa Mungu" # uharibifu hili ni neno jingine kumaanisha kuzimu. KTN: "sehemu ya uharibifu"