sw_tn/job/24/24.md

24 lines
680 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# watashushwa
"Mungu atawashusha" au "Mungu atawaharibu"
# watakusanywa kama wengine wote
baadhi ya tafsiri zingine zinasema "watanyauka na kufifia kama magugu"
# watakatwa kama masuke ya nafaka
KTN:"Mungu atawakata kama mkulima anavyokata masuke ya nafaka"
# Kama ndivyo, je ni nani anaweza kuthibitisha kuwa mimi ni mwongo ; nani anaweza kufanya maneno yangu yasifae kitu?
Ayubu anatumia swali hili kuonyesha uzito wa hoja yake. KTN: "hii ni kweli, hakuna mtu anaweza kuthibitisha kuwa mimi ni mwongo; hakuna wa kuthibitisha kuwa mimi ni mkosaji"
# kufanya maneno yangu yasifae kitu?
"kuthibitisha ninachosema ni makosa"