# Sentensi unganishi Ayubu anaendelea kuongea # watashushwa "Mungu atawashusha" au "Mungu atawaharibu" # watakusanywa kama wengine wote baadhi ya tafsiri zingine zinasema "watanyauka na kufifia kama magugu" # watakatwa kama masuke ya nafaka KTN:"Mungu atawakata kama mkulima anavyokata masuke ya nafaka" # Kama ndivyo, je ni nani anaweza kuthibitisha kuwa mimi ni mwongo ; nani anaweza kufanya maneno yangu yasifae kitu? Ayubu anatumia swali hili kuonyesha uzito wa hoja yake. KTN: "hii ni kweli, hakuna mtu anaweza kuthibitisha kuwa mimi ni mwongo; hakuna wa kuthibitisha kuwa mimi ni mkosaji" # kufanya maneno yangu yasifae kitu? "kuthibitisha ninachosema ni makosa"