sw_tn/job/24/22.md

16 lines
453 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# kwa nguvu zake
"kwa kutumia nguvu zake" au "kwasababu yeye ni mwenye nguvu"
# huinuka na wala hawatii nguvu katika maisha
"wala hawatii nguvu katika maisha"maana yake Mungu hawaachi hai. KTN: "Mungu huinuka na hawapi watu waovu nguvu za kuishi" au "Mungu huinuka na kuwasababisha wafe"
# bali macho yake yapo juu ya njia zao
hapa "macho" nirejea kwa Mungu. KTN: "lakini daima huangalia watendayo"