# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # kwa nguvu zake "kwa kutumia nguvu zake" au "kwasababu yeye ni mwenye nguvu" # huinuka na wala hawatii nguvu katika maisha "wala hawatii nguvu katika maisha"maana yake Mungu hawaachi hai. KTN: "Mungu huinuka na hawapi watu waovu nguvu za kuishi" au "Mungu huinuka na kuwasababisha wafe" # bali macho yake yapo juu ya njia zao hapa "macho" nirejea kwa Mungu. KTN: "lakini daima huangalia watendayo"