sw_tn/job/24/20.md

28 lines
717 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# Tumbo
hii inarejea kwa mama. KTN: "mama"
# minyoo itamla na kuona utamu
hii inamaana kuwa atakufa na minyoo itaula mwili wake. KTN: minyoo itafurahia kula mzoga wake" au "atakufa na mwili wake utaliwa na minyoo"
# hatakumbukwa tena
" hakuna mtu atakayemkumbuka tena"
# utavunjwa kama mti
" Mungu atawaharibu waovu kama mti"
# mwovu huteketeza
sitiari hii inasisitiza jinsi mtu mwovu asivyofaa. KTN: "Kama mnyama mwitu anavyoua mawindo yake, ndivyo mtu mwovu huleta maumivu"
# wanawake tasa ambao hawakuzaa watoto
watu wa wakati ule waliamini kuwa mtu ambaye hakuzaa watoto alikuwa amelaaniwa na Mungu. Hii inawakilisha wanawake wenye bahati mbaya kabisa.