sw_tn/job/24/15.md

32 lines
584 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# jicho la mzinzi
"jicho" linarejea binadamu kwa ujumla wake. KTN: "mzinzi"
# kwa giza gaza
"kwenye machweo"
# hakuna jicho litakaloniona
"jicho" hapa linarejea mwanadamu kwa ujumla wake.KTN: "hakuna mtu atakaye niona"
# watu waovu huchimba kwenye nyumba
wanachimba ili kuiba kwenye hizo nyumba .
# wao hujifungia wenyewe
"hujificha ndani"
# maana kwao wote, giza nene ni kama asubuhi
giza nene ni faraja kwa waovu kama mwanga wa asubuhi kwa watu wa kawaida.
# vitisho vya giza nene
"vitu vya kuogofya vinavyotokea usiku"