# Sentensi unganishi Ayubu anaendelea kuongea # jicho la mzinzi "jicho" linarejea binadamu kwa ujumla wake. KTN: "mzinzi" # kwa giza gaza "kwenye machweo" # hakuna jicho litakaloniona "jicho" hapa linarejea mwanadamu kwa ujumla wake.KTN: "hakuna mtu atakaye niona" # watu waovu huchimba kwenye nyumba wanachimba ili kuiba kwenye hizo nyumba . # wao hujifungia wenyewe "hujificha ndani" # maana kwao wote, giza nene ni kama asubuhi giza nene ni faraja kwa waovu kama mwanga wa asubuhi kwa watu wa kawaida. # vitisho vya giza nene "vitu vya kuogofya vinavyotokea usiku"