sw_tn/job/23/13.md

20 lines
535 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# Lakini yeye ni wa namna ya pekee, ni nani awezaye kumgeuza?
Ayubu anatumia swali hili kusisitiza kuwa Mungu ni wa pekee. KTN: "Lakini hakuna mwingine kama yeye, na hakuna wa kubadilisha nia yake." au "lakini yeye peke yake ni Mungu, na hakuna anayeweza kumshawishi"
# Anachotaka, hukifanya
"anatimiza chochote anachotaka kufanya"
# yeye huzitimiza amri zake dhidi yangu
" ananitendea ambacho alisema angefanya"
# yapo mengi kama hayo
"anamipango yenye kufanana kwa ajili yangu"