# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # Lakini yeye ni wa namna ya pekee, ni nani awezaye kumgeuza? Ayubu anatumia swali hili kusisitiza kuwa Mungu ni wa pekee. KTN: "Lakini hakuna mwingine kama yeye, na hakuna wa kubadilisha nia yake." au "lakini yeye peke yake ni Mungu, na hakuna anayeweza kumshawishi" # Anachotaka, hukifanya "anatimiza chochote anachotaka kufanya" # yeye huzitimiza amri zake dhidi yangu " ananitendea ambacho alisema angefanya" # yapo mengi kama hayo "anamipango yenye kufanana kwa ajili yangu"