sw_tn/job/22/29.md

20 lines
473 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# mwenye macho ya kujishusha
macho ya kujishusha inarejea unyenyekevu. KTN: ' mtu mnyenyekevu"
# mtu ambaye hana hatia
hata mtu ambaye si mwungwana
# utaokolewa kupitia usafi wa mikono yako
maana yake "Mungu atakuokoa kwa sababu ya usafi wa mikono yako"
# kupitia usafi wa mikono yako
"usafi" inamaana ya kutokuwa na hatia "mikono" inamaana ya matendo afanyayo mtu. KTN: " kwa sababu unatenda yaliyo haki"