# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # mwenye macho ya kujishusha macho ya kujishusha inarejea unyenyekevu. KTN: ' mtu mnyenyekevu" # mtu ambaye hana hatia hata mtu ambaye si mwungwana # utaokolewa kupitia usafi wa mikono yako maana yake "Mungu atakuokoa kwa sababu ya usafi wa mikono yako" # kupitia usafi wa mikono yako "usafi" inamaana ya kutokuwa na hatia "mikono" inamaana ya matendo afanyayo mtu. KTN: " kwa sababu unatenda yaliyo haki"