sw_tn/job/22/15.md

20 lines
631 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# utaendeza njia ya zamani ambayo walitembea watu waovu.
Kutenda matendo mabaya kunazungumziwa kama kutembea kwenye njia. KTN: " utaendelea kufanya mambo wafanyayo watu waovu"
# wale ambao walinyakuliwa
"wale waliokufa" au wale ambao Mungu aliwaondoa"
# wale ambao misingi yao imetoweshwa kama mto
kifo cha watu waovu kinaongeleawa kana kwamba ni majengo yaliyokuwa na misingi yake ambayo ilikwishwa haribiwa na mafuriko.
# Mwenyezi anaweza kufanya nini
Elifazi ananukuu swali ambalo waovu hutumia kumdhihaki Mungu. KTN "Mwenyezi hawezi kufanya chochote kwetu!"