# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # utaendeza njia ya zamani ambayo walitembea watu waovu. Kutenda matendo mabaya kunazungumziwa kama kutembea kwenye njia. KTN: " utaendelea kufanya mambo wafanyayo watu waovu" # wale ambao walinyakuliwa "wale waliokufa" au wale ambao Mungu aliwaondoa" # wale ambao misingi yao imetoweshwa kama mto kifo cha watu waovu kinaongeleawa kana kwamba ni majengo yaliyokuwa na misingi yake ambayo ilikwishwa haribiwa na mafuriko. # Mwenyezi anaweza kufanya nini Elifazi ananukuu swali ambalo waovu hutumia kumdhihaki Mungu. KTN "Mwenyezi hawezi kufanya chochote kwetu!"