sw_tn/job/22/12.md

20 lines
925 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu.
# Je Mungu hayupo kwenye kimo cha mbingu?
Elifazi anatumia swali hili kudokeza kwamba Mungu anaiona dhambi ya Ayubu na atamuhukumu. KTN: " Mungu yupo katika vimo vya mbingu na anaona kila kitu kinachotokea duniani"
# tazama kimo kwenye kima cha nyota , je zipo juu kiasi gani!
Elifazi amaanisha kuwa Mungu yupo juu kuliko nyota. KTN: Angalia jinsi nyota zilivyo juu . Mungu yupo juu kuliko hizo nyota"
# Je Mungu anajua nini? je anaweza kuhukumu kwenye mawingu mazito?
Elifazi anatumia maswali haya kumaanisha kwamba Ayabu amasema mambo haya dhudi ya Mungu. KTN: " Mungu hajui kitu gani kinatokea duniani. anakaa kwenye wingu la giza na hawezi kutuhukumu sisi."
# yeye hutembea kwenye kuba ya mbingu
Kuba inarejea kwenye mpaka ambao watu wa kale waliamini ulitenganusha dunia na mbingu. KTN "anaishi mbali sana kwenye mbingu kuona ni nini kinatokea hapa"