# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu. # Je Mungu hayupo kwenye kimo cha mbingu? Elifazi anatumia swali hili kudokeza kwamba Mungu anaiona dhambi ya Ayubu na atamuhukumu. KTN: " Mungu yupo katika vimo vya mbingu na anaona kila kitu kinachotokea duniani" # tazama kimo kwenye kima cha nyota , je zipo juu kiasi gani! Elifazi amaanisha kuwa Mungu yupo juu kuliko nyota. KTN: Angalia jinsi nyota zilivyo juu . Mungu yupo juu kuliko hizo nyota" # Je Mungu anajua nini? je anaweza kuhukumu kwenye mawingu mazito? Elifazi anatumia maswali haya kumaanisha kwamba Ayabu amasema mambo haya dhudi ya Mungu. KTN: " Mungu hajui kitu gani kinatokea duniani. anakaa kwenye wingu la giza na hawezi kutuhukumu sisi." # yeye hutembea kwenye kuba ya mbingu Kuba inarejea kwenye mpaka ambao watu wa kale waliamini ulitenganusha dunia na mbingu. KTN "anaishi mbali sana kwenye mbingu kuona ni nini kinatokea hapa"