sw_tn/job/22/09.md

24 lines
483 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu.
# umewafukuza wajanae hali ya utupu
uliwafanya wajane waondoke bila kitu chochote
# Wajane
wanawakea ambao waume zao wamefariki
# mikono ya yatima imevunjika
hapa "mikono" inarejea nguvu. KTN: 'hata uliwakandamiza yatima"
# mitego imekuzunguka ...kuna giza ..kwenye maji mengi.
sitiari zote hizi maana yake kuna shuda na hatari kumzunguka Ayubu kwa sababu ya dhambi zake.
# kwenye maji mengi.
" kwenye mafuriko"