# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu. # umewafukuza wajanae hali ya utupu uliwafanya wajane waondoke bila kitu chochote # Wajane wanawakea ambao waume zao wamefariki # mikono ya yatima imevunjika hapa "mikono" inarejea nguvu. KTN: 'hata uliwakandamiza yatima" # mitego imekuzunguka ...kuna giza ..kwenye maji mengi. sitiari zote hizi maana yake kuna shuda na hatari kumzunguka Ayubu kwa sababu ya dhambi zake. # kwenye maji mengi. " kwenye mafuriko"