sw_tn/job/22/06.md

24 lines
568 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu.
# Umedai dhamana ya mkopo
Maana yake mkopeshaji anachukua kitu kutoka kwa mkopaji ili kuhakikisha kwamba mkopaji atalipa.
# umetwaa vazi kwa walio uchi
Elifazi anamshutumu Ayubu kuchukua nguo kutoka kwa watu masikini waliomkopa kama dhamana
# ulimnyima mkate
hapa "mkate" unawakilisha chakula kwa ujumla
# alimiliki nchi.. aliishi ndani yake
Elifazi anamshutumu Ayubu kuchukua eneo kutoka kwa watu masikini na wala hakuwaruhusu kuishi sehemu ile.
# alimiliki nchi
"alimiliki eneo kubwa la ardhi"