# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu. # Umedai dhamana ya mkopo Maana yake mkopeshaji anachukua kitu kutoka kwa mkopaji ili kuhakikisha kwamba mkopaji atalipa. # umetwaa vazi kwa walio uchi Elifazi anamshutumu Ayubu kuchukua nguo kutoka kwa watu masikini waliomkopa kama dhamana # ulimnyima mkate hapa "mkate" unawakilisha chakula kwa ujumla # alimiliki nchi.. aliishi ndani yake Elifazi anamshutumu Ayubu kuchukua eneo kutoka kwa watu masikini na wala hakuwaruhusu kuishi sehemu ile. # alimiliki nchi "alimiliki eneo kubwa la ardhi"