sw_tn/job/21/29.md

12 lines
534 B
Markdown

# Setensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Je hamjawaliza watu wasafirio? Je hamjui viashiria wavyoweza kuwaambia ... kwa siku ya ghadhabu?
Ayubu anawakemea rafiki zake kwa kutumia maswali haya kuwa hawajajifunza kwa watu wasafirio. KTN: "Ninyi mnapaswa kuwasikiliza wale waliosafiri hadi sehemu za mbali. watawaambia ... kwa siku ya ghadhabu."
# mtu mwovu huindwa kwa siku ya msiba ... huongozwa kwa siku ya ghadhabu
virai hivi vina maana sawa: KTN: "Mungu humhifadhi mtu mwovu wakati anapoleta maafa"