# Setensi Unganishi Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # Je hamjawaliza watu wasafirio? Je hamjui viashiria wavyoweza kuwaambia ... kwa siku ya ghadhabu? Ayubu anawakemea rafiki zake kwa kutumia maswali haya kuwa hawajajifunza kwa watu wasafirio. KTN: "Ninyi mnapaswa kuwasikiliza wale waliosafiri hadi sehemu za mbali. watawaambia ... kwa siku ya ghadhabu." # mtu mwovu huindwa kwa siku ya msiba ... huongozwa kwa siku ya ghadhabu virai hivi vina maana sawa: KTN: "Mungu humhifadhi mtu mwovu wakati anapoleta maafa"