sw_tn/job/21/22.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Mtu yeyote anaweza kumfundisha Mungu maarifa ikiwa yeye huwahukumu hata wale walio wakuu?
Ayubu anauliza swali kusisitiza kwamba Mungu anajua kila kitu. KTN: "Ni wazi, hakuna mtu anayeweza kumfundisha Mungu chochote kwani yeye huwahukumu hata wale walioko mbinguni."
# walio wakuu
inaweza kumaanisha kuwa 1) "wale walioko mbinguni" au 2) "watu mashuhuri"
# mtu mmoja hufa katika nguvu zake kamili.
Ayubu anamlinganisha mtu huyu afaye katika afya na amani na mtu afaye katika hudhuni na maumivu. KTN: "Kama kuma watu wawili, mmoja anaweza kufa katika nguvu zake kamili"
# mwili wake umejaa maziwa
hii inamaana kwamba mtu yupo katika afya njema.
# mwili wake umejaa maziwa... uboho wa mifupa yake umarainishwa na katika afya nzuri.
hii inamaana kwamba mtu yupo katika afya njema.
# mwili wake umejaa maziwa
Neno "maziwa" linamaana ya "mnene" KTN: "mwili wake umejaa mafuta"
# uboho wa mifupa yake umarainishwa na katika afya nzuri.
hii ni nahau ikimaanisha kuwa mwili wake una ujana na afya njema.