sw_tn/job/20/26.md

20 lines
890 B
Markdown

# Giza lililo kamilika limetunzwa kwa akiba zake;
"Giza lililokamailika" ni tashbiha kuonyesha uharibifu. "Uharibifu umetunzwa kwa ajili ya akiba zake yeye"au"Akiba zake yeye mwenyewe zitaharibiwa"
# moto usiopulizwa utamla yeye
katika tungo hii neno "kumeza" ni tashbiha inayomaanisha kuharibu."mto ambao haukupulizwa utamharibu yeye"
# moto usiopulizwa utamla yeye
Tungo "haukupulizwa" inamaanisha kuwa kuwa hakuna mwanadamu ambaye atauwasha moto. Ni Mungu atauleta moto. "moto ambao haukuwashwa na mwanadamu utamharibu yeye"au" Mungu atauleta moto kumharibu yeye"
# utameza
Neno hili lemetafsiriwa hivi: "kumeza" ni tashbiha kumaanisha kuharibu."mto utaharibu"
# Mbingu...na nchi
Tungo hii inaweza kutafsiriwa hivi: Wale anaoishi katika mbingu na juu ya nchi, au Sofari anazielezea mbingu na nchi kana kwamba ni binadamu ambaye atashuhudia katika mahakama dhidi ya mtu mwovu.