# Giza lililo kamilika limetunzwa kwa akiba zake; "Giza lililokamailika" ni tashbiha kuonyesha uharibifu. "Uharibifu umetunzwa kwa ajili ya akiba zake yeye"au"Akiba zake yeye mwenyewe zitaharibiwa" # moto usiopulizwa utamla yeye katika tungo hii neno "kumeza" ni tashbiha inayomaanisha kuharibu."mto ambao haukupulizwa utamharibu yeye" # moto usiopulizwa utamla yeye Tungo "haukupulizwa" inamaanisha kuwa kuwa hakuna mwanadamu ambaye atauwasha moto. Ni Mungu atauleta moto. "moto ambao haukuwashwa na mwanadamu utamharibu yeye"au" Mungu atauleta moto kumharibu yeye" # utameza Neno hili lemetafsiriwa hivi: "kumeza" ni tashbiha kumaanisha kuharibu."mto utaharibu" # Mbingu...na nchi Tungo hii inaweza kutafsiriwa hivi: Wale anaoishi katika mbingu na juu ya nchi, au Sofari anazielezea mbingu na nchi kana kwamba ni binadamu ambaye atashuhudia katika mahakama dhidi ya mtu mwovu.