sw_tn/job/15/19.md

24 lines
697 B
Markdown

# ambao kwao pekee nchi walipewa,
"kwa hao ambao Mungu pekee aliwapa nchi"
# miongoni mwao hakuna mgeni aliyepita.
Hii inamaanisha kwamba hakuna mgeni aliyeishi kati yao, kwa uwazi ili kwamba wasiweze kuathiriwa na dini za kipagani. " hakuna mtu awaye yote kutoka katika nchi nyingine aliyekuja na kuwasababisha wao kufikiri vibaya juu ya Mungu"
# hupitia katika maumivu
"kuteseka kwa maumivu mengi." Hii yaweza kuwa mayteso ya mwili au kihisia"
# idadi ya miaka iliyowekwa juu
"miaka yote ambayo Mungu ameiweka juu"
# iliyowekwa juu
Hii ni nahau. "ambavyo vimeandaliwa" au "vile vilivyoweka maalumu"
# Sauti ya vitisho katika masikio yake;
"Yeye anasikia sauti za kuogofya siku zote"