# ambao kwao pekee nchi walipewa, "kwa hao ambao Mungu pekee aliwapa nchi" # miongoni mwao hakuna mgeni aliyepita. Hii inamaanisha kwamba hakuna mgeni aliyeishi kati yao, kwa uwazi ili kwamba wasiweze kuathiriwa na dini za kipagani. " hakuna mtu awaye yote kutoka katika nchi nyingine aliyekuja na kuwasababisha wao kufikiri vibaya juu ya Mungu" # hupitia katika maumivu "kuteseka kwa maumivu mengi." Hii yaweza kuwa mayteso ya mwili au kihisia" # idadi ya miaka iliyowekwa juu "miaka yote ambayo Mungu ameiweka juu" # iliyowekwa juu Hii ni nahau. "ambavyo vimeandaliwa" au "vile vilivyoweka maalumu" # Sauti ya vitisho katika masikio yake; "Yeye anasikia sauti za kuogofya siku zote"